Description
Upotovu ni tamthilia inayolenga katika kukosoa hali zetu. Tamthilia hii inatuchokoza tuyaafiki mambo mawili: La kwanza ni?
kwamba tukubali ya kuwa tumeteleza kisiasa na kiuchumi. Hali ambayo imetuzorotesha kimaadili. Jambo la pili ni kuwa?
tukubali kujirekebisha. Tamthilia hii inayo matumaini makubwa ya kwamba mwisho kabisa tutaungana na kuwa jamii moja yenye?
upendo na itakayoenzi yale yaliyo mema pekee
Reviews
There are no reviews yet.