Description
Mzee Makuta anasisitiza kwamba mwanawe wa kupanga, Belo,arudi kwa baba mzazi ama amtaliki mkewe. Belo anapelekwa
kwa Mjomba anayeishi mbali na kwao. Mjomba anapomtesa, Belo anatoroka na kurudi kwa nyanya mzaa mama. Juhudi za kumjua baba mzazi zinagonga ukuta.Belo anapita mtihani wa Darasa la nane kwa kuzoa alama? za juu lakini anakosa karo ya sekondari.
Anatafuta ufadhili kupitia mtandaoni, kilabu cha Marekani kinafadhili masomo yake akikichezea kandanda. Nyota yake iking???aa zaidi, Mjomba anajitokeza kujivunia ushindi wake. Wakati uo huo mwanamume anayedai kuwa baba mzazi anajitokeza. Belo yuko katika njiapanda. Ataegemea upande upi?
Reviews
There are no reviews yet.