Description
Mbuzi kwa jina Go-Go anapotelea katika mbuga ya wanyama ya Nairobi. Anakumbwa na hofu akikumbuka wanyama hatari wa porini wangoweza kumgeuza kitoweo. Mbuzi Go-Go hana budi kutumia akili la sivyo apatwe na makubwa. Je, Mbuzi Go-Go atafanya nint ili arejee kwao salama salamini?
Reviews
There are no reviews yet.