Sale!

Wanyama Pori wa Afrika (Storymoja)

Original price was: KSh 965.43.Current price is: KSh 751.00.

Wanyamapori wa Afrika (Storymoja)

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Kitabu hiki ni nyenzo muhimu cha kumwezesha mtumiaji kuimarisha ujuzi wake kuhusu wanyamapori wa Afrika.

Sifa zake kuu zinajumuisha:

1. Ufafanuzi wa kina kuhusu wanyama 101 wanaoishi katika mazingira mbalimbali.

2. Picha za kumsaidia msomaji kutambua kila mnyama aliyeelezwa.

3. Maelezo yakina kuhusu sura au maumbo ya kila mnyama aliyefafanuliwa.

4. Maelezo ya kina kuhusu makazi na chakula cha kila mnyama aliyefafanuliwa.

5. Maelezo ya kina kuhusu tabia na mienendo ya kila mnyama aliyefafanuliwa.

6. Ufafanuzi kuhusu ukweli wa ajabu au mambo ya kuvutia kuhusu kila mnyama aliyefafanuliwa.

7. Manufaa ya kiekolojia na ya kiuchumi ya kila mnyama aliyefafanuliwa.

8. Viungo vya_ wavuti vitakavyomwezesha msomaji kujifunza zaidi kuhusu kila mnyama.

Waandishi wa kitabu hiki wana tajriba pana za kufanya utafiti na ari isiyo kifani ya utunzaji wa wanyamapori.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.