Description
Malonza anakutana na mwanamke mrembo wa ajabu anapokuwa akiwinda wanyama karibu na Mto Tana. Mwanamke anakubali
kuolewa na Malonza. Wanapokosa chakula, mwanamke anamwambia Malonza amsugue meno ili wayauze na kununua chakula.
Hata hivyo, anamwonya asifichue siri ya meno. Malonza anafuata masharti. Anauza meno katika eneo la Pwani. Ananunua nafaka ya kuwatosheleza katika kipindi hicho cha kiangazi. Wafanyabiashara wanatamani meno zaidi. Meno mengine yatapatikana kweli?
Reviews
There are no reviews yet.