Description
?Mara niliusikia mlango unafunguliwa. Mwili ulinisisimka, nywele? zilinisimama na damu ikanikauka?Nilipapasa mpaka nikazipata ngazi, na nikaanza kupanda bila wasiwasi kwani_nilishawahi kuwa kipofu.?
Kibuhuti cha kufiwa na wazazi_ kinakuja mfungamano na dhiki ya upofu wa ghafula. Ahueni na mhemuko wa kurejesha uwezo wa kuona navyo vinakandamizwa na mwanadada mwenye tatizo zito la kiakili lililofichika, licha ya sura na umbo la ? kunasa jicho mnaso wa sumaku.
Reviews
There are no reviews yet.