Description
Mchezo wa kupata shabaha umepata umaarufu sana katika kijiji cha Chaka. Wakati huo huo, uwanja wa Shule ya Msingj ya Chaka umejaa mifugo na wachungaji, wanaokuja kuwalisha mifugo na pia kucheza mchezo huo. Je, mchezo huo utaleta mashaka? Je, ni kipi kinachowasukuma vijana kukiuka sheria za msitu? Na je, watapata adhabu gani kwa_ kuvunja sheria za msitu huo? Soma hadithi hii upate uhondo.
Reviews
There are no reviews yet.