Description
Mvua inaponyesha watu wazima wanakimbia kuitoroka. Lakini kwa watoto wa kijiji, huu ni wakati wa furaha. Wanojitokeza kucheza na kuisifu mvua. Upinde wa mvua anavutiwa na kitendo chao na kuamua kuwapa zawadi ya rangi. Inanyesha mvua yenye rangi tofauti na kuleta umaridadi ambao haujawahi kuonekana kijijini, jambo linalowaongezea watoto raha.
Reviews
There are no reviews yet.