Description
Darubini ya Kiswahili, Marudio Kamili ya KCSE, ni kitabu kilichoandikwa kwa utaalamu mwingi kumwezesha mwanafunzi kujitayarisha vilivyo kwa mtihani wa Kiswahili katika KCSE. Karatasi zote tatu (Insha, Lugha na Fasihi) zimeshughulikiwa kupitia:
•
Mapitio ya kina ya kila kimojawapo cha vipengele vyote vya silabasi mpya ya Kiswahili
•
Mifano ya matumizi ya kila kipengele
•
Mazoezi yanayolenga kumwelekeza mwanafunzi kufahamu yanayoshughulikiwa
•
Maswali yanayotahini mahitaji yote ya silabasi, pakiwepo pia majibu yake
•
Mitihani mwigo inayomwelekeza mwanafunzi kufahamu kitakachohitajika kwake katika mtihani wa mwisho.
Reviews
There are no reviews yet.