Sale!

Kaburi Bila Msalaba (Phoenix)

Original price was: KSh 399.74.Current price is: KSh 337.00.

Kaburi Bila Msalaba

Add to Wishlist
Add to Wishlist
Category: Brand:

Description

Marehemu Munuhe Kareithi alizaliwa kwenye kijiji cha Mbari-ya-Hwai katika Wilaya ya Nyeri na alifariki 1977 katika ajali ya gari. Alisoma katika shule ya Tumutumu na hatimaye akaenda kwenye shule ya Kagumo ambako alihitimu na kupata Shahada ya Ualimu wa Primary. Alianza kufundisha mnamo mwaka 1954 huku akijielimisha mwenyewe na mwishowe akaingia Chuo Kikuu cha Makerere. Baadaye marehemu Kareithi alikwenda kwenye Chuo cha Kent, Ohio nchini Amerika.

Katika kitabu hiki marehemu Kareithi anaeleza kwa mtindo rahisi na safi, kumbukumbu ya mambo aliyoshuhudia wakati wa hali ya hatari kabla Jamhuri ya Kenya haijajinyakulia uhuru.

Katika hadithi hii ya Mau Mau ambayo ni ya kwanza kuandikwa katika lugha ya Kiswahili, marehemu Kareithi amefaulu kueleza waziwazi vita vya uhuru wa Kenya na gharama iliyowabidi wapigania uhuru hao kulipa. Kila msomaji amalizae kusoma hadithi hii hataacha kujiuliza nafsi yake kama anatimiza wajibu wake katika ujenzi wa taifa hili.

Reviews

There are no reviews yet.

Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.

For those who enjoy instant bonuses and cashback, House of Jack has one of the best programs online.