Anapoondoka kijini Mulingunipa kwenda kuwinda milimani, Winko Ripuvani anajulikana na kupendwa na kila mtu. Anaporudi hakuna mtu anayemfahamu, wala yeye hamfahamu yeyote. Marafiki zake wote wamekufa, na watoto aliowaacha ni watu wazima. Ni kipi kimetokea?
Reviews
There are no reviews yet.
Only logged in customers who have purchased this product may leave a review.
Reviews
There are no reviews yet.